620/258 kuwa mtaalamu au unasomea (elimu) au msikilizaji (wa elimu) na wala usiwe mjinga
621/259 atakaenyoosha njia kuomba (kutafuta) ndani yaka ilimu (basi) humrahisishia mwenyezi mungu njia ya (kwenda) peponi.
623/~ kila kitu kina nguzo, na nguzo ya hii dini ni uwanachuoni (utaalamu).
626/260 ombeni (jifunzeni) ilimu (hata) laukuwa katika china, kwani ilimu ni lazima juu yaa kila muislamu mwanamme na mwanamke.
631/261 na kwa hakika malaika wanaweka mbawa zao kwa anaejifunza ilimu kuwa radhi kwa ayafanyayo.
635/262 hakika mwenyezi mungu na malaika wake, na waliomo katika mbingu na ardhi, hata sisimizi(mdudu chungu) katika shimo lake, na hata samaki, wanamsalia juu ya mwalimu (anayefundisha) watu kheri.
636/263 atakae ita(watu)katika uongozi(kheri)basi anakuwa (anapata)ujira (thawabu)kama ujira wa watakaomfata,haupunguki katika ujira wao kitu.
673/279 akimpenda mmoja mmoja wenu ndugu yake basi amueleze(kuwa anampenda).
676/280 kuipenda dunia(basi)ni kichwa(sababu)cha kila kosa. Mlango wa kutazamana jamaa (ukoo)
693/287 ujamaa(wakuhusiana)unaninginia kwenye arshi unasema:atakaenifikia(nitazama,basi)atamfikia(atatazamwa na) mwenyezi mungu,na atakenikata(asienitazama,basi)atakatwa na mwenyezi mungu.
695/288 sadaka kwa masikini(thawabu yake)ni sadaka moja, na(sadaka)kwa jamaa (yako)inakuwa(thawabu)mbili sadaka na kumtazama.
696/288 haingii peponi mkataji (asietazama) jamaa (zake).
--
thawabu)kama ujira wa watakaomfata,haupunguki katika ujira wenu
vs.3.1